22 Walipopanda na kuingia Negebu, walifika Hebroni,+ ambako Ahimani, Sheshai, na Talmai,+ wazao wa Anaki+ waliishi. Sasa, Jiji la Hebroni lilijengwa miaka saba kabla ya jiji la Soani lililoko Misri.
10 Basi watu wa kabila la Yuda wakawashambulia Wakanaani waliokaa Hebroni (zamani Hebroni liliitwa Kiriath-arba), nao wakamuua Sheshai, Ahimani, na Talmai.+