Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Hesabu 33:55
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 55 “‘Hata hivyo, msipowafukuza wakaaji wa nchi hiyo kutoka mbele yenu,+ basi wale mtakaoruhusu wabaki watakuwa kama vibanzi katika macho yenu na kama miiba kwenye mbavu zenu, nao watawasumbua katika nchi mtakayoishi.+

  • Waamuzi 1:8
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 8 Kisha watu wa Yuda wakashambulia jiji la Yerusalemu+ na kuliteka; wakawaua wakaaji wake kwa upanga na kuliteketeza jiji.

  • Waamuzi 1:21
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 21 Lakini Wabenjamini hawakuwafukuza Wayebusi waliokaa Yerusalemu, kwa hiyo Wayebusi wanakaa na Wabenjamini jijini Yerusalemu mpaka leo.+

  • Waamuzi 19:11
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 11 Walipokaribia Yebusi, ilikuwa jioni sana. Basi yule mtumishi akamuuliza bwana wake, “Tunaweza kulala katika jiji hili la Wayebusi usiku huu?”

  • 2 Samweli 5:6
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 6 Mfalme na wanaume wake wakaenda Yerusalemu kuwashambulia Wayebusi+ waliokuwa wakiishi nchini. Walimdhihaki Daudi wakisema: “Hutaingia humu kamwe! Hata vipofu na vilema watakufukuza.” Hivi ndivyo walivyofikiri: ‘Daudi hataingia humu kamwe.’+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki