Waamuzi 3:19 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 19 Lakini walipofika kwenye sanamu za mawe* huko Gilgali,+ akarudi kwa mfalme na kumwambia: “Nina ujumbe wako wa siri, Ee mfalme.” Basi mfalme akasema, “Ondokeni!” Ndipo watumishi wake wote wakaondoka.
19 Lakini walipofika kwenye sanamu za mawe* huko Gilgali,+ akarudi kwa mfalme na kumwambia: “Nina ujumbe wako wa siri, Ee mfalme.” Basi mfalme akasema, “Ondokeni!” Ndipo watumishi wake wote wakaondoka.