-
Waamuzi 13:8, 9Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
8 Manoa akamsihi Yehova akisema, “Nakuomba Yehova. Tafadhali, tunaomba yule mtu wa Mungu wa kweli uliyekuwa umemtuma hivi punde arudi ili atufundishe jinsi ya kumlea mtoto atakayezaliwa.” 9 Basi Mungu wa kweli akamsikiliza Manoa, na yule malaika wa Mungu wa kweli akamjia tena huyo mwanamke alipokuwa ameketi shambani; lakini Manoa mume wake hakuwepo.
-