Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Waamuzi 9:6
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 6 Kisha viongozi wote wa Shekemu na wakaaji wote wa Beth-milo wakakusanyika pamoja na kumweka Abimeleki kuwa mfalme,+ karibu na ule mti mkubwa, penye nguzo iliyokuwa Shekemu.

  • Waamuzi 9:49
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 49 Basi watu wote wakakata pia matawi na kumfuata Abimeleki. Kisha wakayaweka kuzunguka ile ngome na kuiteketeza. Na watu wote waliokuwa ndani ya mnara wa Shekemu wakafa pia, watu karibu 1,000, wanaume na wanawake.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki