Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Hesabu 3:10
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 10 Unapaswa kumweka rasmi Haruni na wanawe ili watekeleze majukumu yao ya ukuhani,+ na mtu yeyote asiye na idhini* atakayekaribia mahali patakatifu anapaswa kuuawa.”+

  • Kumbukumbu la Torati 12:11
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 11 Mtaleta vitu vyote ninavyowaamuru mahali ambapo Yehova Mungu wenu atachagua jina lake likae hapo+—dhabihu zenu za kuteketezwa, matoleo yenu, sehemu zenu za kumi,+ mchango kutoka mkononi mwenu, na kila dhabihu ya nadhiri mnayoweka nadhiri kwa Yehova.

  • Kumbukumbu la Torati 12:13
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 13 Jihadharini msitoe dhabihu za kuteketezwa mahali pengine popote mtakapoona.+

  • 2 Mambo ya Nyakati 13:8, 9
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 8 “Na sasa mnafikiri kwamba mnaweza kushindana na ufalme wa Yehova ulio mikononi mwa wana wa Daudi kwa sababu ninyi ni umati mkubwa nanyi mna ndama wa dhahabu ambao Yeroboamu aliwatengenezea wawe miungu yenu.+ 9 Je, hamjawafukuza makuhani wa Yehova,+ wazao wa Haruni, na Walawi, na je, hamjawaweka makuhani wenu wenyewe kama yalivyofanya mataifa ya nchi nyingine?+ Yeyote aliyeleta* ng’ombe dume mchanga na kondoo dume saba, angeweza kuwa kuhani wa vitu ambavyo si miungu.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki