-
Waamuzi 17:9, 10Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
9 Mika akamuuliza, “Unatoka wapi?” Akamjibu, “Mimi ni Mlawi kutoka Bethlehemu kule Yuda, natafuta mahali pa kuishi.” 10 Basi Mika akamwambia, “Kaa pamoja nami, uwe kama baba* na kuhani wangu. Nitakupa vipande kumi vya fedha kwa mwaka, mavazi, na chakula.” Kwa hiyo Mlawi huyo akaingia nyumbani mwake.
-