Mwanzo 35:19 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 19 Kwa hiyo Raheli akafa na kuzikwa njiani kuelekea Efrathi, yaani, Bethlehemu.+ Mika 5:2 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 2 Na wewe, Ee Bethlehemu Efratha,+Uliye mdogo sana usiweze kuwa miongoni mwa maelfu ya* Yuda,+Kutoka kwako atatoka kwa ajili yangu yule atakayekuwa mtawala katika Israeli,Ambaye asili yake ni ya tangu nyakati za kale, tangu siku za zamani za kale.
2 Na wewe, Ee Bethlehemu Efratha,+Uliye mdogo sana usiweze kuwa miongoni mwa maelfu ya* Yuda,+Kutoka kwako atatoka kwa ajili yangu yule atakayekuwa mtawala katika Israeli,Ambaye asili yake ni ya tangu nyakati za kale, tangu siku za zamani za kale.