Yoshua 8:3, 4 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 3 Basi Yoshua na wanajeshi wote wakaenda kulishambulia jiji la Ai. Yoshua akachagua mashujaa hodari 30,000 na kuwatuma wakati wa usiku. 4 Akawaamuru hivi: “Mtavizia nyuma ya jiji. Msiende mbali sana na jiji, na nyote kaeni tayari.
3 Basi Yoshua na wanajeshi wote wakaenda kulishambulia jiji la Ai. Yoshua akachagua mashujaa hodari 30,000 na kuwatuma wakati wa usiku. 4 Akawaamuru hivi: “Mtavizia nyuma ya jiji. Msiende mbali sana na jiji, na nyote kaeni tayari.