Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • 2 Samweli 14:2
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 2 Kwa hiyo Yoabu akatuma watu huko Tekoa+ wamlete mwanamke mwerevu, akamwambia hivi: “Tafadhali, jifanye kana kwamba unaomboleza, nawe uvae nguo za kuomboleza, na usijipake mafuta.+ Jifanye kama mwanamke ambaye amekuwa akiomboleza kwa siku nyingi kwa sababu ya kufiwa.

  • 2 Samweli 14:7
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 7 Sasa watu wote wa familia wako dhidi yangu, mimi mtumishi wako, nao wanasema, ‘Mtoe yule aliyemuua ndugu yake, ili tumuue kwa sababu ya uhai wa* ndugu yake ambaye alimuua,+ hata kama tutamwangamiza mrithi wake!’ Watakuwa wamezima kaa langu la mwisho linalowaka,* na mume wangu hatakuwa na jina wala mzao* duniani.”

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki