Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Kumbukumbu la Torati 3:14
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 14 “Yairi+ mwana wa Manase alichukua eneo lote la Argobu+ hadi kwenye mpaka wa Wageshuri na Wamaakathi,+ akaviita vijiji hivyo vya Bashani kwa jina lake mwenyewe, Hawoth-yairi,*+ mpaka leo.

  • 2 Samweli 3:3
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 3 Mzaliwa wake wa pili alikuwa Kileabu na mama yake alikuwa Abigaili,+ mjane wa Nabali Mkarmeli; na wa tatu alikuwa Absalomu+ mwana wa Maaka, binti ya Talmai+ mfalme wa Geshuri.

  • 2 Samweli 13:37
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 37 Lakini Absalomu akakimbia na kwenda kwa Talmai+ mwana wa Amihudi mfalme wa Geshuri. Daudi akamwombolezea mwana wake kwa siku nyingi.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki