Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • 2 Samweli 19:15
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 15 Mfalme akaanza safari ya kurudi, akafika Yordani, na watu wa Yuda wakaja Gilgali+ ili kumpokea mfalme na kumsindikiza kuvuka Yordani.

  • 2 Samweli 19:41, 42
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 41 Kisha wanaume wote wa Israeli wakaja kwa mfalme na kumuuliza: “Kwa nini ndugu zetu watu wa Yuda walikuiba na kukuleta wewe mfalme na nyumba yako ng’ambo ya Yordani, pamoja na wanaume wako wote?”+ 42 Wanaume wote wa Yuda wakawajibu hivi wanaume wa Israeli: “Kwa sababu mfalme ni mtu wa jamaa yetu.+ Kwa nini jambo hili linawakasirisha? Je, tumekula chochote ambacho kimemgharimu mfalme, au je, tumepewa zawadi?”

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki