Mwanzo 37:16, 17 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 16 Akamjibu: “Ninawatafuta ndugu zangu. Tafadhali niambie, wanachunga kondoo wapi?” 17 Mtu huyo akamwambia: “Wameondoka hapa, niliwasikia wakisema, ‘Twendeni Dothani.’” Kwa hiyo Yosefu akawafuata ndugu zake na kuwakuta Dothani.
16 Akamjibu: “Ninawatafuta ndugu zangu. Tafadhali niambie, wanachunga kondoo wapi?” 17 Mtu huyo akamwambia: “Wameondoka hapa, niliwasikia wakisema, ‘Twendeni Dothani.’” Kwa hiyo Yosefu akawafuata ndugu zake na kuwakuta Dothani.