Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • 1 Wafalme 18:13
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 13 Je, bwana wangu hukuambiwa niliyofanya Yezebeli alipokuwa akiwaua manabii wa Yehova, jinsi nilivyowaficha manabii 100 wa Yehova, manabii 50 katika kila pango, na jinsi nilivyokuwa nikiwapa mikate na maji?+

  • 1 Wafalme 21:9, 10
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 9 Aliandika hivi katika barua hizo: “Tangazeni watu wafunge, halafu mketisheni Nabothi mbele ya watu. 10 Nanyi muwaketishe watu wawili wasiofaa kitu mbele yake ili watoe ushahidi dhidi yake,+ wakisema, ‘Umemtukana Mungu na mfalme!’+ Kisha mtoeni nje na kumuua kwa kumpiga mawe.”+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki