28 Mfalme akamuuliza: “Una shida gani?” Akamjibu: “Mwanamke huyu aliniambia, ‘Mtoe mwana wako tumle leo, na mwanangu tutamla kesho.’+ 29 Basi tukamchemsha mwanangu na kumla.+ Siku iliyofuata nikamwambia, ‘Mlete mwana wako tumle.’ Lakini akamficha mwanawe.”