Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • 2 Wafalme 8:29
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 29 Kwa hiyo Mfalme Yehoramu akarudi Yezreeli+ ili apone majeraha aliyopata kutoka kwa Wasiria huko Rama alipopigana na Mfalme Hazaeli wa Siria.+ Ahazia mwana wa Yehoramu mfalme wa Yuda akashuka kwenda Yezreeli kumwona Yehoramu mwana wa Ahabu, kwa sababu alikuwa amejeruhiwa.*

  • 2 Wafalme 9:21
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 21 Yehoramu akasema: “Fungeni farasi kwenye gari!” Basi farasi wakafungwa kwenye gari lake la vita, na Yehoramu mfalme wa Israeli na Ahazia+ mfalme wa Yuda wakaondoka kila mmoja kwenye gari lake la vita ili kukutana na Yehu. Wakakutana naye katika shamba la Nabothi,+ Myezreeli.

  • 2 Wafalme 9:27
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 27 Mfalme Ahazia wa Yuda+ alipoona hayo, alikimbia kupitia njia ya nyumba ya bustani. (Baadaye Yehu akamfuatia na kusema: “Muueni yeye pia!” Kwa hiyo wakampiga ndani ya gari akipanda kuelekea Guri, karibu na mji wa Ibleamu.+ Lakini akaendelea kukimbia mpaka Megido, akafia huko.

  • 2 Mambo ya Nyakati 22:1
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 22 Kisha wakaaji wa Yerusalemu wakamweka Ahazia mwanawe wa mwisho kuwa mfalme baada yake, kwa maana kundi la wavamizi lililokuja kambini pamoja na Waarabu lilikuwa limewaua wana wote wakubwa wa Yehoramu.+ Kwa hiyo Ahazia mwana wa Yehoramu akaanza kutawala akiwa mfalme wa Yuda.+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki