25 Samweli akawaambia watu kuhusu haki za wafalme+ na kuziandika katika kitabu na kukiweka mbele za Yehova. Kisha Samweli akawaruhusu watu wote waende zao, kila mtu akaenda nyumbani kwake.
3 Basi wazee wote wa Israeli wakaja kwa mfalme huko Hebroni, na Mfalme Daudi akafanya agano nao+ huko Hebroni mbele za Yehova. Kisha wakamtia mafuta Daudi awe mfalme wa Israeli.+