2 Wafalme 10:35 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 35 Kisha Yehu akafa na kuzikwa pamoja na mababu zake huko Samaria; na Yehoahazi mwana wake+ akawa mfalme baada yake. 2 Wafalme 13:9 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 9 Kisha Yehoahazi akafa na kuzikwa pamoja na mababu zake huko Samaria;+ na Yehoashi mwanawe akawa mfalme baada yake.
35 Kisha Yehu akafa na kuzikwa pamoja na mababu zake huko Samaria; na Yehoahazi mwana wake+ akawa mfalme baada yake.
9 Kisha Yehoahazi akafa na kuzikwa pamoja na mababu zake huko Samaria;+ na Yehoashi mwanawe akawa mfalme baada yake.