Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • 2 Wafalme 16:7
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 7 Kwa hiyo Ahazi akatuma wajumbe kwa Mfalme Tiglath-pileseri+ wa Ashuru, akisema: “Mimi ni mtumishi wako na mwanao. Njoo uniokoe kutoka mikononi mwa mfalme wa Siria na kutoka mikononi mwa mfalme wa Israeli, wanaonishambulia.”

  • 1 Mambo ya Nyakati 5:6
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 6 na Beera mwana wa Baali, ambaye Mfalme Tilgath-pilneseri+ wa Ashuru alimpeleka uhamishoni; alikuwa mkuu wa Warubeni.

  • 1 Mambo ya Nyakati 5:26
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 26 Kwa hiyo Mungu wa Israeli akaichochea roho ya Mfalme Pulu wa Ashuru+ (yaani, Mfalme Tilgath-pilneseri+ wa Ashuru) hivi kwamba akawapeleka uhamishoni watu wa kabila la Rubeni, Gadi, na nusu ya kabila la Manase, akawapeleka Hala, Habori, Hara, na mto Gozani,+ nao wako huko hadi leo.

  • 2 Mambo ya Nyakati 28:19, 20
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 19 Yehova aliwanyenyekeza watu wa Yuda kwa sababu ya Mfalme Ahazi wa Israeli, kwa maana aliwaacha watu wa Yuda watende watakavyo, na hivyo wakakosa kuwa waaminifu kwa Yehova kwa kiwango kikubwa.

      20 Hatimaye Mfalme Tilgath-pilneseri+ wa Ashuru akaja kukabiliana naye na kumtesa+ badala ya kumtia nguvu.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki