Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Kutoka 12:30
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 30 Farao akaamka usiku huo pamoja na watumishi wake wote na Wamisri wengine wote, na kulikuwa na kilio kikubwa sana miongoni mwa Wamisri, kwa sababu hapakuwa na nyumba hata moja ambayo haikuwa na mtu aliyekufa.+

  • Isaya 37:36-38
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 36 Na malaika wa Yehova akaenda na kuwaua wanaume 185,000 katika kambi ya Waashuru. Watu walipoamka asubuhi na mapema, waliona maiti zote hizo.+ 37 Basi Mfalme Senakeribu wa Ashuru akaondoka, akarudi Ninawi+ na kukaa huko.+ 38 Na alipokuwa akiinama katika nyumba ya* Nisroki mungu wake, watoto wake mwenyewe wa kiume Adrameleki na Shareza, walimuua kwa upanga+ na kutorokea nchi ya Ararati.+ Na Esar-hadoni+ mwanawe akawa mfalme baada yake.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki