Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • 2 Samweli 13:28
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 28 Kisha Absalomu akawaagiza hivi watumishi wake: “Mwangalieni Amnoni, moyo wake utakapokuwa umechangamka kwa sababu ya divai, nitawaambia, ‘Muueni Amnoni!’ Ndipo mtakapomuua. Msiogope. Je, si mimi ndiye huwaamuru? Iweni imara na jasiri.”

  • 2 Samweli 13:37
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 37 Lakini Absalomu akakimbia na kwenda kwa Talmai+ mwana wa Amihudi mfalme wa Geshuri. Daudi akamwombolezea mwana wake kwa siku nyingi.

  • 2 Samweli 15:10
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 10 Sasa Absalomu akawatuma wapelelezi katika makabila yote ya Israeli, akawaambia: “Mara tu mtakaposikia sauti ya pembe, tangazeni hivi: ‘Absalomu amekuwa mfalme katika Hebroni!’”+

  • 2 Samweli 18:14
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 14 Ndipo Yoabu akasema: “Sitaendelea kupoteza muda pamoja nawe!” Basi akachukua mikuki mitatu midogo* na kumchoma nayo Absalomu kwenye moyo alipokuwa angali hai akining’inia kwenye mti mkubwa.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki