Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Mwanzo 38:2
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 2 Akiwa huko, Yuda akamwona binti ya Mkanaani fulani+ aliyeitwa Shua. Basi akamwoa na kulala naye,

  • Mwanzo 38:5
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 5 Kwa mara nyingine tena akazaa mwana na kumpa jina Shela. Shela alipozaliwa, Yuda alikuwa Akzibu.+

  • Hesabu 26:20
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 20 Na wana wa Yuda kulingana na koo zao walikuwa: kutoka kwa Shela,+ ukoo wa Washela; kutoka kwa Perezi,+ ukoo wa Waperezi; kutoka kwa Zera,+ ukoo wa Wazera.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki