Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Kumbukumbu la Torati 3:3
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 3 Basi Yehova Mungu wetu akamtia pia mikononi mwetu Mfalme Ogu wa Bashani pamoja na watu wake wote, nasi tukaendelea kumshambulia hivi kwamba hakuna mtu yeyote kati ya watu wake aliyeokoka.

  • Kumbukumbu la Torati 3:13
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 13 Kisha nusu ya kabila la Manase+ nimewapa sehemu inayobaki ya Gileadi na eneo lote la Bashani la ufalme wa Ogu. Eneo lote la Argobu, la Bashani, lilijulikana kuwa nchi ya Warefaimu.

  • Kumbukumbu la Torati 32:14
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 14 Siagi ya mifugo na maziwa ya kundi,

      Pamoja na kondoo bora,*

      Na kondoo dume wa Bashani, na mbuzi dume,

      Pamoja na ngano bora;*+

      Nawe ulikunywa divai kutoka katika damu* ya zabibu.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki