Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Yoshua 21:27-33
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 27 Na Wagershoni+ wa koo za Walawi walipewa jiji la makimbilio kwa ajili ya muuaji katika eneo la nusu ya kabila la Manase, yaani, jiji la Golani+ kule Bashani pamoja na malisho yake, na Beeshtera na malisho yake—majiji mawili.

      28 Na katika eneo la kabila la Isakari:+ Kishioni na malisho yake, Daberathi+ na malisho yake, 29 Yarmuthi na malisho yake, na En-ganimu na malisho yake—majiji manne.

      30 Na katika eneo la kabila la Asheri:+ Mishali na malisho yake, Abdoni na malisho yake, 31 Helkathi+ na malisho yake, na Rehobu+ na malisho yake—majiji manne.

      32 Na katika eneo la kabila la Naftali: jiji la makimbilio+ kwa ajili ya muuaji, yaani, jiji la Kedeshi+ kule Galilaya na malisho yake, Hamoth-dori na malisho yake, na Kartani na malisho yake—majiji matatu.

      33 Wagershoni walipewa jumla ya majiji 13 na malisho yake kulingana na koo zao.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki