Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • 1 Samweli 7:14
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 14 Pia, majiji ambayo Wafilisti walikuwa wamechukua kutoka kwa Waisraeli yalirudishwa kwa Waisraeli, kuanzia Ekroni mpaka Gathi, na Waisraeli wakayakomboa maeneo yao kutoka mikononi mwa Wafilisti.

      Pia kukawa na amani kati ya Waisraeli na Waamori.+

  • 1 Samweli 17:4
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 4 Kisha shujaa mmoja akatoka katika kambi za Wafilisti; aliitwa Goliathi,+ kutoka Gathi,+ alikuwa na urefu wa mikono sita na shubiri moja.*

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki