-
1 Mambo ya Nyakati 9:39-44Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
39 Neri+ akamzaa Kishi; Kishi akamzaa Sauli;+ Sauli akamzaa Yonathani,+ Malki-shua,+ Abinadabu,+ na Eshbaali. 40 Na mwana wa Yonathani aliitwa Merib-baali.+ Merib-baali akamzaa Mika.+ 41 Na wana wa Mika walikuwa Pithoni, Meleki, Tahrea, na Ahazi. 42 Ahazi akamzaa Yara; Yara akamzaa Alemethi, Azmavethi, na Zimri. Zimri akamzaa Mosa. 43 Mosa akamzaa Binea na Refaya mwanawe, Refaya akamzaa Eleasa, Eleasa akamzaa Aseli. 44 Aseli alikuwa na wana sita, na haya ndiyo majina yao: Azrikamu, Bokeru, Ishmaeli, Shearia, Obadia, na Hanani. Hao ndio waliokuwa wana wa Aseli.
-