-
Nehemia 11:4, 5Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
4 Pia, baadhi ya watu wa Yuda na Benjamini waliishi Yerusalemu.) Kati ya watu wa Yuda kulikuwa na Athaya mwana wa Uzia mwana wa Zekaria mwana wa Amaria mwana wa Shefatia mwana wa Mahalaleli wa wana wa Perezi,+ 5 na Maaseya mwana wa Baruku mwana wa Kolhoze mwana wa Hazaya mwana wa Adaya mwana wa Yoyaribu mwana wa Zekaria mwana wa Mshela.
-