-
Nehemia 11:7-9Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
7 Hawa ndio waliokuwa watu wa Benjamini: Salu+ mwana wa Meshulamu mwana wa Yoedi mwana wa Pedaya mwana wa Kolaya mwana wa Maaseya mwana wa Ithieli mwana wa Yeshaya, 8 na baada yake Gabai na Salai, watu 928; 9 na Yoeli mwana wa Zikri alikuwa msimamizi wao, na Yuda mwana wa Hasenua alikuwa wa pili katika usimamizi wa jiji.
-