Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Nehemia 11:10-14
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 10 Kutoka kwa makuhani: Yedaya mwana wa Yoyaribu, Yakini,+ 11 Seraya mwana wa Hilkia mwana wa Meshulamu mwana wa Sadoki mwana wa Merayothi mwana wa Ahitubu,+ kiongozi wa nyumba ya* Mungu wa kweli; 12 na ndugu zao waliofanya kazi ya ile nyumba, watu 822; na Adaya mwana wa Yerohamu mwana wa Pelalia mwana wa Amzi mwana wa Zekaria mwana wa Pashuri+ mwana wa Malkiya, 13 na ndugu zake, viongozi wa koo,* watu 242, na Amashisai mwana wa Azareli mwana wa Azai mwana wa Meshilemothi mwana wa Imeri, 14 na ndugu zao 128 waliokuwa wanaume hodari na jasiri; na msimamizi wao alikuwa Zabdieli, aliyetoka katika familia mashuhuri.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki