Mwanzo 36:4, 5 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 4 Na Ada akamzalia Esau mtoto aliyeitwa Elifazi, naye Basemathi akamzaa Reueli, 5 na Oholibama akamzaa Yeushi, Yalamu, na Kora.+ Hao ndio wana wa Esau waliozaliwa katika nchi ya Kanaani.
4 Na Ada akamzalia Esau mtoto aliyeitwa Elifazi, naye Basemathi akamzaa Reueli, 5 na Oholibama akamzaa Yeushi, Yalamu, na Kora.+ Hao ndio wana wa Esau waliozaliwa katika nchi ya Kanaani.