Mwanzo 36:23, 24 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 23 Hawa ndio wana wa Shobali: Alvani, Manahathi, Ebali, Shefo, na Onamu. 24 Hawa ndio wana wa Sibeoni:+ Aya na Ana. Huyu ndiye Ana aliyepata chemchemi za maji ya moto nyikani alipokuwa akiwachunga punda wa Sibeoni baba yake.
23 Hawa ndio wana wa Shobali: Alvani, Manahathi, Ebali, Shefo, na Onamu. 24 Hawa ndio wana wa Sibeoni:+ Aya na Ana. Huyu ndiye Ana aliyepata chemchemi za maji ya moto nyikani alipokuwa akiwachunga punda wa Sibeoni baba yake.