7 Nanyi hakika mtawakimbiza maadui wenu na kuwaua kwa upanga. 8 Watu watano kati yenu watawakimbiza maadui 100, na 100 watawakimbiza 10,000; mtawaua maadui wenu kwa upanga.+
7 “Yehova atafanya maadui wanaowashambulia washindwe mbele yenu.+ Watawashambulia kutoka upande mmoja, lakini watawakimbia wakielekea pande saba tofauti.+
13 Kisha Yoabu na wanaume wake wakasonga mbele kwenda kupigana vita na Wasiria, nao wakamkimbia.+14 Waamoni walipoona kwamba Wasiria wamekimbia, wakamkimbia Abishai na kuingia jijini. Baada ya Yoabu kupigana na Waamoni akarudi Yerusalemu.