Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Mwanzo 36:40-43
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 40 Basi haya ndiyo majina ya mashehe wa Esau kulingana na koo zao, kulingana na maeneo yao, kulingana na majina yao: Shehe Timna, Shehe Alva, Shehe Yethethi,+ 41 Shehe Oholibama, Shehe Ela, Shehe Pinoni, 42 Shehe Kenasi, Shehe Temani, Shehe Mibsari, 43 Shehe Magdieli, na Shehe Iramu. Hao ndio mashehe wa Edomu kulingana na sehemu walizoishi katika nchi waliyomiliki.+ Hao ndio wazao wa Esau, baba ya Waedomu.+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki