14 “Isakari+ ni punda mwenye mifupa migumu, aliyelala chini kati ya mizigo miwili aliyobeba. 15 Naye ataona kwamba mahali pa kupumzikia ni pazuri na kwamba nchi inapendeza. Atainamisha bega lake ili abebe mzigo, naye atakubali kufanya kazi ya utumwa.