Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Mwanzo 30:4-6
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 4 Basi akampa Bilha kijakazi wake awe mke wake, Yakobo akalala naye.+ 5 Bilha akapata mimba na baada ya muda akamzalia Yakobo mwana. 6 Raheli akasema: “Mungu amekuwa mwamuzi wangu, naye ameisikiliza pia sauti yangu, akanipa mwana.” Ndiyo sababu alimpa jina Dani.*+

  • Mwanzo 49:16-18
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 16 “Dani+ atawahukumu watu wake akiwa mmoja wa makabila ya Israeli.+ 17 Dani na awe nyoka kando ya barabara, nyoka mwenye pembe kando ya njia, anayeuma visigino vya farasi na kumwangusha nyuma mpandaji wake.+ 18 Nitasubiri wokovu kutoka kwako, Ee Yehova.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki