14 Ndiyo sababu Hebroni limekuwa urithi wa Kalebu mwana wa Yefune Mkenizi mpaka leo, kwa sababu alimfuata Yehova Mungu wa Israeli kwa moyo wote.+ 15 Hapo awali Hebroni liliitwa Kiriath-arba+ (Arba alikuwa mtu maarufu miongoni mwa Waanaki). Nchi ikawa na amani bila vita.+