Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • 2 Wafalme 15:5-7
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 5 Yehova alimletea mfalme pigo, naye aliendelea kuwa na ukoma+ mpaka siku aliyokufa; alikaa katika nyumba iliyotengwa,+ huku Yothamu mwana wa mfalme+ akiisimamia nyumba ya mfalme,* akiwahukumu watu nchini.+ 6 Na mambo mengine katika historia ya Azaria,+ mambo yote aliyofanya, je, hayajaandikwa katika kitabu cha historia ya nyakati za wafalme wa Yuda? 7 Kisha Azaria akafa na kuzikwa pamoja na mababu zake+ katika Jiji la Daudi; na Yothamu mwanawe akawa mfalme baada yake.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki