Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • 1 Wafalme 16:23, 24
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 23 Katika mwaka wa 31 wa Mfalme Asa wa Yuda, Omri akawa mfalme wa Israeli, naye akatawala kwa miaka 12. Alitawala Tirsa kwa miaka sita. 24 Alinunua mlima wa Samaria kutoka kwa Shemeri kwa talanta mbili za fedha,* akajenga jiji juu ya mlima huo. Jiji alilojenga aliliita Samaria,*+ jina la Shemeri mmiliki* wa mlima huo.

  • 1 Wafalme 22:51
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 51 Ahazia+ mwana wa Ahabu akawa mfalme wa Israeli huko Samaria katika mwaka wa 17 wa utawala wa Mfalme Yehoshafati wa Yuda, naye alitawala Israeli kwa miaka miwili.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki