Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • 2 Wafalme 16:7, 8
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 7 Kwa hiyo Ahazi akatuma wajumbe kwa Mfalme Tiglath-pileseri+ wa Ashuru, akisema: “Mimi ni mtumishi wako na mwanao. Njoo uniokoe kutoka mikononi mwa mfalme wa Siria na kutoka mikononi mwa mfalme wa Israeli, wanaonishambulia.” 8 Kisha Ahazi akachukua fedha na dhahabu iliyokuwa katika nyumba ya Yehova na katika hazina za nyumba ya mfalme,* akampelekea mfalme wa Ashuru kama rushwa.+

  • Isaya 7:10-12
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 10 Yehova akaendelea kumwambia Ahazi: 11 “Mwombe Yehova Mungu wako+ ishara; inaweza kuwa yenye kina kama Kaburi* au iwe juu kama anga.” 12 Lakini Ahazi akasema: “Sitaomba, wala sitamjaribu Yehova.”

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki