Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Ezra 8:24, 25
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 24 Kisha nikachagua wakuu 12 wa makuhani, yaani, Sherebia na Hashabia,+ pamoja na kumi kati ya ndugu zao. 25 Nikawapimia fedha na dhahabu na vyombo, mchango ambao mfalme na washauri wake na wakuu wake na Waisraeli wote waliokuwa hapo walitoa kwa ajili ya nyumba ya Mungu wetu.+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki