-
Zaburi 139:11, 12Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
11 Nikisema: “Hakika giza litanificha!”
Basi usiku unaonizunguka utakuwa nuru.
-
-
Amosi 9:3Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
Wakijificha chini ya bahari ili macho yangu yasiwaone,
Huko nitamwamuru nyoka awaume.
-