-
Kutoka 13:17, 18Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
17 Basi Farao alipowaruhusu Waisraeli waondoke, Mungu hakuwaongoza kufuata njia ipitayo katika nchi ya Wafilisti, ingawa ilikuwa fupi. Kwa maana Mungu alisema: “Watu hawa wakikabili vita huenda wakabadili mawazo yao na kurudi Misri.” 18 Kwa hiyo Mungu akawafanya wazunguke kupitia njia ya nyikani inayoelekea kwenye Bahari Nyekundu.+ Lakini Waisraeli waliondoka katika nchi ya Misri wakiwa wamejipanga kivita.
-
-
Kutoka 15:22Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
22 Baadaye Musa akawaongoza Waisraeli kutoka katika Bahari Nyekundu, wakaenda katika nyika ya Shuri na kusafiri kwa siku tatu nyikani, lakini hawakupata maji.
-