-
Ezekieli 34:20, 21Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
20 “‘Kwa hiyo Bwana Mwenye Enzi Kuu Yehova anawaambia hivi: “Mimi nipo hapa, na mimi mwenyewe nitahukumu kati ya kondoo aliyenona na kondoo aliyekonda, 21 kwa maana kwa ubavu wenu na kwa bega lenu mliendelea kuwasukuma, na kwa pembe zenu mliendelea kuwasukuma wote waliokuwa wagonjwa mpaka mkawatawanya maeneo ya mbali.
-