Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Ezekieli 27:35
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 35 Wakaaji wote wa visiwani watakutazama kwa mshangao,+

      Nao wafalme wao watatetemeka kwa hofu+—nyuso zao zitakuwa na wasiwasi.

  • Ezekieli 32:10
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 10 Nitayafanya mataifa mengi yashikwe na hofu,

      Na wafalme wao watatetemeka kwa woga kwa sababu yako nitakapoutikisa upanga wangu mbele yao.

      Wataendelea kutetemeka, kila mmoja akihofia uhai wake,

      Siku utakayoanguka.’

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki