-
Mwanzo 41:39Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
39 Kisha Farao akamwambia Yosefu: “Kwa kuwa Mungu amekuwezesha kuyajua yote hayo, hakuna yeyote aliye na busara na hekima kama wewe.
-
-
Mwanzo 41:42Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
42 Halafu Farao akaivua pete yake ya muhuri kutoka kwenye mkono wake mwenyewe na kumvisha Yosefu mkononi, akamvisha pia mavazi ya kitani bora na mkufu wa dhahabu shingoni mwake.
-