Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Danieli 7:10, 11
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 10 Mto wa moto ulikuwa ukitiririka kutoka mbele zake.+ Elfu kwa maelfu waliendelea kumhudumia, na elfu kumi mara elfu kumi walisimama mbele zake.+ Mahakama+ ikaketi, na vitabu vikafunguliwa.

      11 “Nikaendelea kutazama wakati huo kwa sababu ya mvumo wa maneno ya kiburi* yaliyokuwa yakisemwa na pembe hiyo;+ nilitazama mpaka mnyama huyo alipouawa na mwili wake ukaharibiwa na kutolewa ili uchomwe moto.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki