Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Yeremia 4:3, 4
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 3 Kwa maana Yehova anawaambia hivi watu wa Yuda na Yerusalemu:

      “Jilimieni shamba linalofaa kwa kilimo,

      Nanyi msiendelee kupanda kati ya miiba.+

       4 Jitahirini kwa ajili ya Yehova,

      Na kuondoa magovi ya mioyo yenu,+

      Ninyi watu wa Yuda na wakaaji wa Yerusalemu,

      Ili ghadhabu yangu isiwake kama moto

      Na iteketeze bila yeyote wa kuizima,

      Kwa sababu ya matendo yenu maovu.”+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki