Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Yeremia 25:17
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 17 Basi nikakichukua kile kikombe kutoka mkononi mwa Yehova na kuyanywesha mataifa yote ambayo Yehova alinituma kwao:+

  • Yeremia 25:20
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 20 na watu wa mataifa mbalimbali waliochangamana nao; wafalme wote wa nchi ya Usi; wafalme wote wa nchi ya Wafilisti,+ Ashkeloni,+ Gaza, Ekroni, na watu waliobaki wa Ashdodi;

  • Yeremia 47:1
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 47 Hili ndilo neno la Yehova kwa nabii Yeremia kuwahusu Wafilisti,+ kabla ya Farao kushambulia Gaza.

  • Zekaria 9:5
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    •  5 Jiji la Ashkeloni litaona jambo hilo na kuogopa;

      Gaza litahisi maumivu makali sana,

      Ekroni pia, kwa sababu tumaini lake limeaibishwa.

      Mfalme wa Gaza ataangamizwa,

      Na Ashkeloni halitakaliwa na watu.+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki