-
Kumbukumbu la Torati 28:27Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
27 “Yehova atawapiga kwa majipu ya Misri, bawasiri, ukurutu, na upele wa ngozi, nanyi hamtaweza kupona magonjwa hayo.
-
-
Kumbukumbu la Torati 28:60Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
60 Atawaletea tena magonjwa yote ya Misri mliyokuwa mkiogopa, nayo kwa hakika yatawaandama ninyi.
-