-
Zaburi 149:6, 7Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
6 Nyimbo zinazomsifu Mungu na ziwe kooni mwao,
Na upanga wenye makali pande mbili uwe mkononi mwao,
7 Ili kuyalipiza kisasi mataifa
Na kuyaadhibu mataifa,
-